Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri, akitabasamu nje ya banda la kampuni hiyo, wakati wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es Salaam.
Ngongoti waliobuniwa na kuvalishwa nguo za Kampuni ya Mikoani (Azania), wakitembea na kugawa vipeperushi vya kampuni hiyo, huku wakifuatwa na vijana, waliokuwa wakiwashangaa kwenye viwanja hivyo, wakati wa siku ya mwisho ya maonesho ya maadhimisho hayo jana.
Ngongoti waliobuniwa na kuvalishwa nguo za Kampuni ya Mikoani (Azania), wakitembea na kufuatwa na vijana, waliokuwa wakiwashangaa kwenye viwanja hivyo, wakati wa siku ya mwisho ya maonesho ya maadhimisho hayo jana.
Ngongoti waliobuniwa na kuvalishwa nguo za Kampuni ya Mikoani (Azania), wakigawa vipeperushi vya bidhaa za kampuni hiyo, viwanjani hapo, wakati wa siku ya mwisho ya maonesho ya maadhimisho hayo jana.
Ngongoti waliobuniwa na kuvalishwa nguo za Kampuni ya Mikoani (Azania), akigawa vipeperushi vya bidhaa za kampuni hiyo, viwanjani hapo, wakati wa siku ya mwisho ya maonesho ya maadhimisho hayo jana.
Ngongoti waliobuniwa na kuvalishwa nguo za Kampuni ya Mikoani (Azania), akigawa vipeperushi vya bidhaa za kampuni hiyo, viwanjani hapo, wakati wa siku ya mwisho ya maonesho ya maadhimisho hayo jana.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri, akiwapa maelezo wageni mbalimbali waliotembelea kwenye banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania, wahifadhi na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri, akionesha baadhi ya bidhaa zinazozalishwa na kampuni hiyo, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania, wahifadhi na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri, akimkaribisha kwenye banda la kampuni hiyo, mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania, wahifadhi na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri, akimpatia maelezo, mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo, alipofika kwenye banda hilo katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya wiki hiyo.
Mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo, aliangalia bidhaa zinazozalishwa na Kampuni ya Mikoani Trader, alipofika kwenye banda hilo, katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya wiki hiyo.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania, wahifadhi na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri, akimuonsha baadhi ya bidhaa zinazozalishwa na kampuni hiyo, mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo, alipofika kwenye banda hilo, katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya wiki hiyo.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania, wahifadhi na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri, akimuonsha baadhi ya bidhaa zinazozalishwa na kampuni hiyo, za maandazi, mikate na keki zilizotengenezwa kwa ustadi mkubwa mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo, alipofika kwenye banda hilo, katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya wiki hiyo.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania, wahifadhi na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri, akimuelezea kuhusu utengenezwaji wa bidhaa hizo, zinazozalishwa na kampuni hiyo.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania, wahifadhi na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri, akimpatia kipeperushi chenye maelezo ya bidhaa za kampuni hiyo, mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo, alipofika kwenye banda hilo, katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya wiki hiyo.
Meneja Udhibiti wa Ubora wa Bidhaa wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania, wahifadhi na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Alice Aidan Bujiku, akimpatia maelezo mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo.
Mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo, akiuliza swali kuhusu bidhaa za kampuni hiyo, alipofika kwenye banda hilo, katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya wiki hiyo.
Mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo, akihoji mambo mbalimbali kuhusu bidhaa na usambazwaji wake nchini na nje ya nchi.
Mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo, akidadisi masuala mbalimbali kuhusu bidhaa za kampuni hiyo, ambapo kila mara alipatiwa majibu sahihi kutoka kwa Meneja Mauzo wa kampuni hiyo, Nife Al Shatri (kulia) na Meneja Udhibiti wa Ubora wa Bidhaa, Alice Aidan Bujiku (katikati), wakati wa ufungaji wa manesho ya wiki hiyo jana.
Mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo, akifurahia maelezo na ubora wa bidhaa za kampuni hiyo, mara baada ya kupatiwa majibu sahihi kuhusu bidhaa za kampuni hiyo na Meneja Mauzo wa kampuni hiyo, Nife Al Shatri (kulia) na Meneja Udhibiti wa Ubora wa Bidhaa, Alice Aidan Bujiku.

Meneja Udhibiti wa Ubora wa Bidhaa wa Mikoani Tarder, Alice Aidan, akimuonesha moja ya biadhaa za kampuni hiyo, Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Huduma za Lishe, Dk. Vincent Assey, alipotembelea banda la kampuni hiyo, siku ya ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, viwanjani hapo jana.
Meneja Udhibiti wa Ubora wa Bidhaa wa Mikoani Tarder, Alice Aidan, akimueleza jambo kuhusu biadhaa za kampuni hiyo, Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Huduma za Lishe, Dk. Vincent Assey, alipotembelea banda la kampuni hiyo, siku ya ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, viwanjani hapo jana.

Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Huduma za Lishe, Dk. Vincent Assey, akihoji jambo kuhusu bidhaa za kampuni hiyo.
Meneja Udhibiti wa Ubora wa Bidhaa wa Mikoani Tarder, Alice Aidan (katikati), akimpatia majibu Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Huduma za Lishe, Dk. Vincent Assey, alipotembelea banda la kampuni hiyo, siku ya ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, viwanjani hapo jana.
Wasanii wa kikundi cha burudani cha Machozi Art Media Group, wakitumbuiza wakati wa ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama.
Wasanii wa kikundi cha burudani cha Machozi Art Media Group, wakicheza na nyoka, wakati wakitumbuiza katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama.

Wasanii wa kikundi cha burudani cha Machozi Art Media Group, wakinengua, wakati walipokuwa wakitumbuiza katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama.
Mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo, akisoma hotuba yake wakati akifunga maonesho ya maadhimisho ya wiki hiyo jana.
Mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo, akimkabidhi cheti cha ushindi wa jumla, Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri.
Mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo, akimkabidhi cheti cha ushiriki na kutambua mchango wa kampuni hiyo katika maadhimisho hayo, Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mikoani Traders, wazalishaji wa Unga wa Azania na wasafirishaji wa nafaka kwenda mikoani na nchi mbalimbali barani Afrika, Nife Al Shatri.

Washiriki wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya wiki hiyo, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo.
Washiriki wa maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama, wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya wiki hiyo, Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Wizara ya Kilimo na Chakula, Karim Mtambo (katikati), wakati alipoyafunga maonesho hayo.
Viongozi Meza kuu pamoja na Bango la Maadhimisho ya Wiki ya Chakula Salama.
Watoto wakicheza ngoma za msanii kipenzi, Diamond Platnamz kwenye viwanja hivyo.
Meneja Mauzo wa Kampuni Mikoani Traders, Nife Al Shatri (kulia) na Meneja Udhibiti wa Ubora wa Bidhaa, Alice Aidan Bujiku, wakionesha vyeti vilivyotumukiwa kampuni hiyo katika maonesho ya maadhimisho ya wiki hiyo jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment