TANGAZO


Thursday, October 16, 2014

Mbunge wa Temeke Abass Mtevu azindua Tawi la UWT jijini Dar es Salaam

Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia), akisaliliana na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara alipo wasili katika Ofisi ya Kata ya   Vituka Dar es Salaam leo.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ofisi ya wanachama wa (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Kata ya Vituka Temeke, Dar es Salaam na wanachama wengine.
Mtemvu na viongozi wengine wa UWT, wakishangilia baada uzinduzi wa ofisi hizo kufanyika
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu na Diwani wa Viti Maalum wa Temeke, Mariam Mtemvu wakitia saini kwenye vitabu vya wageni katika ofisi hizo.
Mtemvu akiwa na wafuasi wa CCM wakielekea kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Vituka.
Mtemvu akisalimiana na wananchi.
Mtemvu, Mariam Mtemvu na Mwenyekiti wa UWT Kata ya Vituka, Suzana Mdete wakiwapungia mikono wananchi.
Baadhi ya wafuasi wa CCM wakiwa katika mkutano huo.
Wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba ya  Mbunge wa Jimbo la Temeke, Mtemvu.
Msaidizi Mkuu wa Mbunge wa Temeke, Ally Mehalla akitambulishwa kwa wananchi wakati wa mkutano huo.
Timu ya soka wakiwa katika mkkutano huo.
Mtemvu akitoa zawadi kwa msanii Haassn Mapenje  aliyekuwa akitumbuiza kwa sarakasi katika mkutano huo.
Msanii Hassan Mkenjula akifanya mambo yake katika mkutano huo.
Mbunge akimpongeza msanii Hassan Mkenjula.
Mtemvu akisalimiana na mmoja wa wananchama wa CCM.
Mdete akifungua mkutano huo wa hadhara.
Mwanachama wa Chadema Husna Dole  akishangilia kwa furaha baada ya kukabidhi kadi ya chama hicho na kutangaza kujiunga na CCM katika mkutano huo.
Husna akikabidhi kadi kwa Mtemvu.
Mtemvu akimvisha fulana ya CCM Husna.
Mtemvu akimkabidhi kadi ya CCM Husna.
Mtemvu akisalimiana na wananchi baada ya mkutano kumalizika. (Picha zote na Khamisi Mussa)
Mtemvu akiagana na wapiga kura wake.

No comments:

Post a Comment