TANGAZO


Thursday, October 30, 2014

Kikwete akutana na wasanii, viongozi wa Msondo Bendi (OTTU jazz) Ikulu

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya pamoja na wasanii pamoja na viongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma, Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana. Viongozi hao walimtembelea Rais Kikwete ikulu leo na kufanya naye mazungumzo. (Picha zote na Freddy Maro)
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma, walipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.

No comments:

Post a Comment