Viongozi wa kuu wa Chama cha mapinduzi [CCM], Mwenyekiti Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu Abdalaman Kinana na Makamu Mwenyekiti Philip Mangula wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa White House Mjini Dodoma kabla ya Kufunguliwa kwa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC)kilichoanza juzi.
Mmoja wa wajumbe wa kikao cha halmashauri kuu ya Taifa (NEC) akiwa amebeba nakala za katiba iliyopendekezwa kisheria tayali kwa kuzigawa kwa wajumbe wa kikao hicho.
Mama Salma Kikwete na Mwanawe Riziwani Kikwete wakaifurahia jambo kwenye ukumbi wa mikutano wa White House Mjini Dodoma walipohudhuria kikao cha halmashauri kuu ya CCM kilichofunguliwa juzi na Mwenyekiti wa chama hicho Jakaya Kikwete.
Mama Salma Kikwete na Mwanawe Riziwani Kikwete wakijadili jambo kwenye
ukumbi wa mikutano wa White House Mjini Dodoma walipohudhuria kikao cha
halmashauri kuu ya CCM kilichofunguliwa juzi na Mwenyekiti wa chama
hicho Jakaya Kikwete.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Asha Rose Migilo ambaye pia ni Waziri wa Ktiba na Sheria akiteta jambo na Anjela Kairuki ambaye pia na Naibu Waziri wa wizara hiyo.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wakiwa ukumbi wa mikutano ya chama cha mapinduzi kwa ajili ya kikao chao juzi.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wakiwa ukumbi wa mikutano ya chama cha mapinduzi kwa ajili ya kikao chao juzi, wakijadili jambo. (Picha zote na John Banda, Dodoma)
No comments:
Post a Comment