TANGAZO


Friday, October 17, 2014

Boko haram kuwaachilia wanafunzi

Serikali ya Nigeria inasema kuwa imefikia makubaliano na kundi la wapiganaji wa Boko Haram khusu wasichana wlaiotekwa nyara wa Chibok.
Mkuu wa jeshi la Nigeria Alex Badeh,aliyefichua makubaliano hayo mwishoni mwa mkutano wa siku tatu kati ya nchi hiyo na Cameroon anasema kuwa wanajeshi wa Nigeria watatimiza matakwa ya makubaliano hayo.

No comments:

Post a Comment