Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana Mlalo mkoani Tanga
Katibu Mkuu wa CCM , Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa
hadhara katika Kata ya Sunga, Jimbo la Mlalo wakati wa ziara ya
kuimarisha uhai wa chama kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya
CCM.
Katibu Itikadi na Uenezi wa CCM , Nape Nnauye akihutubia katika mkutano
wa hadhara katika Kata ya Sunga, Jimbo la Mlalo wakati wa ziara ya
kuimarisha uhai wa chama kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya
CCM.
Kinana akijenga, alipowasili kushiriki ujenzi wa maabara katika Shule ya Msingi Mtumbi, Jimbo la Mlalo.
Kinana akisalimiana na wananchi alipowasili kushiriki ujenzi wa maabara katika Shule ya Msingi Mtumbi, Jimbo la Mlalo
Kinana akiwa eneo la ujenzi wa maabara katika Shule ya Sekondari Mtumbi, Jimbo la Mlalo Lushoto
Kinana akishiriki kukwangua eneo la ujenzi wa chumba cha maabara katika Shuleya Sekondari Mtumbi wilayani Lushoto
Kinana aakisukuma toroli lililobeba udongo uliotolewa eneo
patakapojengwa maabara katika Shule ya Sekondari Mtumbi, Jimbo la Mlalo,
Lushoto mkoani Tanga.
Kinana akizidi kusukuma toroli lenye udongo uliotolewa eneo
patakapojengwa chumba kingine cha maabara katika Shule ya Sekondari,
Jimbo la Mlalo wilayani Lushoto
Kinana akimwaga udongo huo
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akimwaga naye udongo
Mchumi
wa CCM Mkoa wa Tanga, Steven Ngonyani maarufu kwa jina la Profesa Maji
Marefu,akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Sunga.
Nape akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Sunga
Kinana akihutubia wananchi.
Sehemu ya umati uliohudhuria katika mkutano wa hadhara Kata ya Sunga, mkoani Mbeya.
Mmoja wa wazee wa Kijiji cha Sunga akisikiliza kwa makini wakati Kinana a akihutubia katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment