Baadhi ya washiriki walioingia katika shindao la Redd's Miss Tanzania 2014, wakifuatilia shindano la Redd's Miss Ilala 2014, ambapo washindi wanne wa shindano hilo, watajiuga nao katika kinyang'anyiro hicho. (Picha zote na KassimMbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, wakinengua wakati wa shindano hilo.
Wanne Star akiwa na wasanii wake, wakinengua wakati wa onesho hilo.
Redd's Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa (katikati), akiwa pamoja na ndugu zake, wakifuatilia shindano la Redd's Miss Ilala 2014.
Msanii wa kundi la Wanne Star, Halima Juma, akionesha uwezo wake wa kuzungusha viringi kwa kutumia viungo vyake, wakati wa shindano hilo.
Mmoja wa washiriki wa shindano la Miss Ilala, akipita na vazi la bunifu.
Mshiriki wa Miss Ilala, 2014, Jihan Dimesh, akipozi, wakati wa shindano hilo, usiku wa kuamkia leo.
Baadhi ya washiriki wa Redd's Miss Ilala 2014, wakipita na vazi la ufukweni.
Baadhi ya washiriki wa Redd's Miss Ilala 2014, wakipita na vazi la ufukweni.
Wasanii wa bendi ya Yamoto, wakitumbuiza wakati wa shindano hilo.
Washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, wakicheza, wakati wa shindano hilo.
Warembo wa Redd's Miss Ilala 2014, waliofanikiwa kuingia tano bora, wakisubiri kushindana katika kujibu maswali.
Mwandaaji wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concepts, inayotoa magazeti ya Jambo Leo na jarida la Jambo Brand, Juma Pinto, akizungumza wakati wa kuhitimisha shindano hilo. Kulia ni waratibu wa shindano hilo, William Malecela (katikati) na Juma Mabakila.
Mashindi wa Pili akivalishwa taji lake wakati wa shindano hilo usiku wa kuamkia leo.
Miss Ilala 2014, Jihan Dimesh, akifuta machozi ya furaha, mara baada ya kutangazwa kushinda nafasi hiyo.
Mshindi wa Pili wa Redd's Miss Ilala 2013, Alice Mwakatika, akimvalisha taji hilo kwa 2014, Jihan Dimesh, baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika shindano la warembo wa Ilala, lililofanyika juzi, Hoteli ya Kempiski, jijini Dar es Salaam. Kulia ni mshindi wa Tatu, Happiness Sosthenes.
Redd's Miss Ilala 2014, Jihan Dimesh (katikati), akipunga mkono, akiwa na washindi wa Pili, Nasreen Abdul (kushoto) na wa Tatu, Happiness Sosthenes, wakati wa shindano hilo, Hoteli ya Kempiski, Dar es Salaam usiku wa kuakia leo.
Redd's Miss Ilala 2014, Jihan Dimesh (katikati), akipunga mkono, akiwa na washindi wa Pili, Nasreen Abdul (kushoto) na wa Tatu, Happiness Sosthenes, wakati wa shindano hilo, Hoteli ya Kempiski, Dar es Salaam usiku wa kuakia leo.
Redd's Miss Ilala 2014, Jihan Dimesh, akipunga mkono, wakati wa shindano hilo, Hoteli ya Kempiski, Dar es Salaam usiku wa kuakia leo.
Redd's Miss Ilala 2014, Jihan Dimesh, akipunga mkono, wakati wa shindano hilo, Hoteli ya Kempiski, Dar es Salaam usiku wa kuakia leo.
Redd's Miss Ilala 2014, Jihan Dimesh, akiwa na shada la maua, wakati wa shindano hilo, Hoteli ya Kempiski, Dar es Salaam usiku wa kuakia leo.
No comments:
Post a Comment