TANGAZO

Monday, September 8, 2014

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO 8 SEPTEMBA, 2014 MJINI DODOMA.(2)

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.

Juu na Chini: Wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba wakiendelea kuwasilisha taarifa toka katika kamati zao mbalimbali leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipitia moja ya taarifa toka katika kamati ya Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
 Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akipitia taarifa toka katika kamati ya Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Augustino Mrema (kushoto) pamoja na Mhe. Steven Wasira wakiteta jambo wakati wa Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma. 
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akijadiliana na Mzee Kingunge Ngomale Mwiru wakati wa Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati namba Tano, Mhe. Asha-Rose Migiro akijadiliana na mjumbe wa kamati nyingine, Mhe. Maua Daftari wakati wa Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa toka kamati mbalimbali za Bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.

Wanafunzi toka shule ya Sekondari ya Kizota iliyopo mjini Dodoma wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa za kamati mbalimbali mara walipotembelea kwenye mafunzo maalum katika bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
Wanafunzi toka Shule ya Sekondari ya Kizota iliyopo mjini Dodoma wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa za kamati mbalimbali mara walipotembelea kwenye mafunzo maalum katika bunge hilo leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria uwasilishwaji wa taarifa katika Bunge Maalum la Katiba leo 8 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment