Mkuu wa Mkoa, Meki Sadiki ahidi kutoa magodoro 100 kwa hospitali hiyo
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke, Amaani Malima, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa magodoro na mashuka, vyenye thamani ya Tsh. milioni 6 kutoka Benki ya Maendeleo, Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo, Ibrahim Mwangalaba. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo, Ibrahim Mwangalaba, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi magodoro na mashuka kwa Hospitali ya Temeke, dar es Salaam leo. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki na kushoto ni Mganga Mkuu wa hospitali hiyo, Amaani Malima.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo, Ibrahim Mwangalaba, akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (wapili kushoto), jijini leo, mashuka na magodoro, vyenye thamani ya sh. milioni 6, katika hafla ya kukabidhi msaada huo, uliotolewa na benki hiyo, kwa ajili ya Hospitali ya Temeke ya jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mganga Mkuu wa hospitali hiyo, Amaani Malima.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (wapili kushoto), akipokea msaada wa magodoro na mashuka, vyenye thamani ya sh. milioni 6, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo, Ibrahim Mwangalaba kwa ajili ya Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam leo, ambapo naye aliahidi kutoa mashuka 100 kwa hospitali hiyo. Msaada huo, umetolewa na benki hiyo, ikiwa ni katika kuadhimisha mwaka mmoja tokea kuanzishwa kwake nchini. Kushoto ni Mganga Mkuu wa hospitali hiyo, Amaani Malima.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (wapili kushoto), akipokea msaada wa magodoro na mashuka, vyenye thamani ya sh. milioni 6, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo, Ibrahim Mwangalaba kwa ajili ya Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam leo, ambapo naye aliahidi kutoa mashuka 100 kwa hospitali hiyo. Msaada huo, umetolewa na benki hiyo, ikiwa ni katika kuadhimisha mwaka mmoja tokea kuanzishwa kwake nchini. Kushoto ni Mganga Mkuu wa hospitali hiyo, Amaani Malima na kulia ni Muuguzi Mkuu, Deodata Msoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (wapili kulia), akiliangalia moja ya mashuka, alilokuwa akimkabidhi Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke, Amaani Malima, msaada uliotolewa pamoja na magodoro, vikiwa na thamani ya sh. milioni 6, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo, Ibrahim Mwangalaba (kulia), kwa ajili ya hospitali hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (wapili kulia), akimkabidhi moja ya mashuka, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke, Amaani Malima, msaada uliotolewa pamoja na magodoro, vikiwa na thamani ya sh. milioni 6 na Benki ya Maendeleo kupitia kwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Ibrahim Mwangalaba (kulia), jijini leo, kwa ajili ya hospitali hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (katikati), akizungumza mara baada ya kukabidhiwa msaada wa mashuka pamoja na magodoro, vyenye thamni ya sh. milioni 6 kwa ajili ya Hospitali ya Temeke, jijini leo. Kulia Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Ibrahim Mwangalaba na kushoto ni Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke, Amaani Malima.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza mara baada ya kukabidhiwa msaada wa mashuka pamoja na magodoro, vyote vikiwa na thamni ya sh. milioni 6 kwa ajili ya Hospitali ya Temeke, jijini leo. Kulia Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Ibrahim Mwangalaba na kushoto ni Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke, Amaani Malima.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Maendeleo, wakiwa katika Hafla ya kukabidhi Hospitali ya Temeke msaada wa magodoro na mashuka vyenye thamani ya sh. milioni 6.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza mara baada ya kukabidhiwa msaada wa mashuka pamoja na magodoro, vyote vikiwa na thamni ya sh. milioni 6 kwa ajili ya Hospitali ya Temeke, jijini leo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa mashuka na magodoro kwa Hospitali ya Temeke, jijini leo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Maendeleo, wakiwa katika Hafla hiyo ya kukabidhi Hospitali ya Temeke msaada wa magodoro na mashuka vyenye thamani ya sh. milioni 6.
No comments:
Post a Comment