Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dk. Khamis Kigwangallah akiwasili katika hoteli ya Hyyat Kilimanjaro kwenye mkutano na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali ambapo leo, ametangaza nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania unaotarajiwa kufanyika mwaka ujao 2015, Dk. Khamis Kigwangallah ameongozana na mke wake Dk. BayoumAwadh na watoto wake Sheila ambaye ni mkubwa Hawa na HK Junior aliyembeba.
Dk. Khamis Kigwangallah na familia yake, wakiigia katika chumba cha mkutano tayari kwa kuanza mkutano huo leo. |
No comments:
Post a Comment