TANGAZO


Wednesday, September 17, 2014

Amrefu yatangaza Mabalozi wake, Kampeni ya Kuokoa Maisha ya Mama na Mtoto

Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Amref Health Africa, Dk. Festus Ilako (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu taasisi hiyo, kuandaa chakula cha hisani cha kuchangia mafunzo ya wakunga kwa ajili ya kuokoa maisha ya mama na mtoto, katika kampeni inayojulikana kama 'Stand up for African Mother', hafla itakayofanyika Oktoba 9, jijini. Pia kuwatangaza wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Banana Zoro (kushoto) na Mwasiti Almasi (kulia), kuwa Mabalozi wa taasisi hiyo. Wapili kushoto ni Msaidizi wake, Dk. Rita Noronha. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mkurugenzi Mkazi Msaidizi, Dk. Rita Noronha (kushoto), akifafanua jambo wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Amref Health Africa, Dk. Festus Ilako na kulia ni Balozi wa taasisi hiyo, msanii Mwasiti Almasi.
 Mkurugenzi Mkazi Msaidizi, Dk. Rita Noronha (katikati), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Amref Health Africa, Dk. Festus Ilako na kushoto ni Balozi wa taasisi hiyo, msanii Banana Zoro.
Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Amref Health Africa, Dk. Festus Ilako (katikati), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipozungumza nao kuhusu kuandaa chakula cha hisani cha kuchangia mafunzo ya wakunga. Katikati Msaidizi wake, Dk. Rita Noronha na kushoto ni Balozi wa taasisi hiyo, msanii Banana Zoro.
Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Amref Health Africa, Dk. Festus Ilako (katikati), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipozungumza nao kuhusu kuandaa chakula cha hisani cha kuchangia mafunzo ya wakunga. Kushoto ni Msaidizi wake, Dk. Rita Noronha na kulia ni Balozi wa taasisi hiyo, msanii Mwasiti Almasi. 
Balozi wa taasisi ya Amref Health Africa, msanii Banana Zoro, akizungumza mara baada ya kutangazwa kuwa balozi wa taasisi hiyo. Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Amref Health Africa, Dk. Festus Ilako na katikati ni Mkurugenzi Mkazi Msaidizi, Dk. Rita Noronha.
Maofisa wa Amref Health Africa, Eliminatha Paschal na kulia ni Lilian Nsemwa, wakifuatilia mkutano huo.
Mkurugenzi Mkazi Msaidizi wa Amref Health Africa, Dk. Rita Noronha (katikati), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Amref Health Africa, Dk. Festus Ilako na kushoto ni Balozi wa taasisi hiyo, msanii Banana Zoro.
Viongozi wa Taasisi ya Amref Health Africa, wakizungumza na waandishi wa habari.
Viongozi wa Taasisi ya Amref Health Africa, wakizungumza na waandishi wa habari.
Balozi wa Taasisi ya Amref Health Africa, msanii Mwasiti Almasi (kulia), akizungumza mara baada ya kutangazwa kuwa Mabalozi wa taasisi hiyo.
Balozi wa Taasisi ya Amref Health Africa, msanii Mwasiti Almasi (kulia), akizungumza mara baada ya kutangazwa kuwa Mabalozi wa taasisi hiyo.
Mkurugenzi Mkazi Msaidizi wa Amref Health Africa, Dk. Rita Noronha, akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya Maofisa wa Amref na waandishi wa habari, wakiwa kwenye mkutano huo.
Maofisa wa Amref wakiwa kwenye mkutano huo.

No comments:

Post a Comment