Baadhi ya waandishi wa habari, wakimsikiliza na kuandika maelezo ya Tamko la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), lililokuwa likisomwa na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, Dar es Salaam leo, kuhusu mchakato wa Katiba Mpya na yanayoendelea Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma.

Baadhi ya waandishi wa habari, wakiandika maelezo ya Tamko la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), lililokuwa likisomwa na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, Dar es Salaam leo, kuhusu mchakato wa Katiba Mpya na yanayoendelea Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, akisoma Tamko la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mchakato wa Katiba Mpya na yanayoendelea Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakimsikiliza na kuandika maelezo ya Tamko la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), lililokuwa likisomwa na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, Dar es Salaam leo, kuhusu mchakato wa Katiba Mpya na yanayoendelea Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Nyuma ni baadhi ya wanachama wa vyama hivyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akifafanua jambo, kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), walipokuwa wakitoa tamko kuhusu mchakato wa Katiba Mpya na yanayoendelea Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akiwaonesha waandishi wa habari, kadi ya matibabu kwa ajili ya kutibiwa Wabunge, wakati viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), walipokuwa wakitoa tamko kuhusu mchakato wa Katiba Mpya na yanayoendelea Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na kulia ni Katibu Mkuu wa Chadema, Wilbroad Slaa.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), walipokuwa wakitoa tamko kuhusu mchakato wa Katiba Mpya na yanayoendelea Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Wapili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa chama hicho, Wilbroad Slaa, aliyewawakilisha Makatibu wa Ukawa.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akiionesha rasimu ya Pili ya Katiba Mpya, wakati viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), walipokuwa wakitoa tamko kuhusu mchakato wa Katiba Mpya na yanayoendelea Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Wapili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa chama hicho, Wilbroad Slaa, aliyewawakilisha Makatibu wa Ukawa.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo wa kutoa tamko kuhusu mchakato wa Katiba Mpya na yanayoendelea Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Wapili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa chama hicho, Wilbroad Slaa.

Baadhi ya wapigapicha wa vyombo mbalimbali vya habari, wakichukua matukio mbalimbali, wakati Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, alipokuwa akifafanua jambo walipotoa tamko kuhusu mchakato wa Katiba Mpya na yanayoendelea Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilbroad Slaa, akifafanua wakati alipokuwa akijibu baadhi ya maswali ya waandishi wa habari katika mkutano huo wa viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dar es Salaam leo.Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilbroad Slaa, akifafanua wakati alipokuwa akijibu baadhi ya maswali ya waandishi wa habari katika mkutano huo wa viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment