Baadhi ya ng’ombe wanaofugwa kwa ajili ya uzalishaji wa maziwa
kwenye kiwanda cha MilkCom Dairies Ltd kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Zaidi ya ng’ombe 15,000 wanafugwa katika kiwanda hicho kwa ajili ya uzalishaji
wa bidhaa zinazotokana na maziwa zikiwemo maziwa na mtindi. (Picha na Georgina Misama)
|
No comments:
Post a Comment