TANGAZO

Wednesday, August 6, 2014

Mbunge Mussa Zungu akabidhi msaada wa Madawati 50 na Mabati 100 kwa Shule ya Msingi Upanga jijini Dar es Salaam

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Upanga, Mwl. Anna Mshana, akizungumza wakati alipokuwa akiwakaribisha Mbunge Mussa Zungu (kulia), alipofika shuleni hapo kwa ajili ya kukabidhi madawati 50 yenye thamani ya sh. milioni 5 pamoja na mabati 100 kwa ajili ya kuezekea shule hiyo, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Diwani wa Kata ya Upanga, Sultan Ahmed. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Upanga, Mwl. Anna Mshana, akizungumza wakati alipokuwa akiwakaribisha Mbunge Mussa Zungu (kulia), alipofika shuleni hapo kwa ajili ya kukabidhi madawati 50 yenye thamani ya sh. milioni 5 pamoja na mabati 100 kwa ajili ya kuezekea shule hiyo, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Diwani wa Kata ya Upanga, Sultan Ahmed.
Baadhi ya walimu wa Shule ya Msingi Upanga, wakiwa katika hafla ya kukabidhi madawati 50 pamoja na mabati 100, yaliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Upanga, Mwl. Anna Mshana, akizungumza wakati alipokuwa akiwakaribisha Mbunge Mussa Zungu (kulia), alipofika shuleni hapo kwa ajili ya kukabidhi madawati 50 yenye thamani ya sh. milioni 5 pamoja na mabati 100 kwa ajili ya kuezekea shule hiyo, Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Upanga, wakiwa kwenye madawati yaliyokabidhiwa na Mbunge Zungu shuleni hapo juzi.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Upanga, wakiwa wamekaa kwenye madawati yaliyokabidhiwa na Mbunge Zungu shuleni hapo juzi.
Baadhi ya walimu wa Shule ya Msingi Upanga, wakiwa katika hafla ya kukabidhi madawati 50 pamoja na mabati 100, yaliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Upanga, Mwl. Anna Mshana, akizungumza wakati alipokuwa akiwakaribisha Mbunge Mussa Zungu (kulia), alipofika shuleni hapo kwa ajili ya kukabidhi madawati 50 yenye thamani ya sh. milioni 5 pamoja na mabati 100 kwa ajili ya kuezekea shule hiyo, Dar es Salaam juzi.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Upanga, Mwl. Anna Mshana, akizungumza wakati alipokuwa akiwakaribisha Mbunge Mussa Zungu (kulia), alipofika shuleni hapo kwa ajili ya kukabidhi madawati 50 yenye thamani ya sh. milioni 5 pamoja na mabati 100 kwa ajili ya kuezekea shule hiyo, Dar es Salaam juzi.
Diwani wa Kata ya Upanga, Sultan Ahmed. akizungumza katika hafla hiyo, ambapo pia alimkaribisha Mbunge Mussa Zungu (kulia), kuzungumza na walimu pamoja na wanafunzi wa shule hiyo.

Maandhari ya Shule ya Msingi Upanga, yanavyoonekana. 
Maandhari ya Shule ya Msingi Upanga, yanavyoonekana na kuleta taaswira ya kupendeza. 
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, akizungumza na walimu pamoja na wanafunzi wa Shuleni ya Msingi Upanga, wakati alipofika shuleni hapo kwa ajili ya kukabidhi madawati 50 yenye thamani ya sh. milioni 5 pamoja na mabati 100 kwa ajili ya kuezekea shule hiyo, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Diwani wa Kata ya Upanga, Sultan Ahmed na kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Upanga, Mwl. Anna Mshana.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, akizungumza na walimu pamoja na wanafunzi wa Shuleni ya Msingi Upanga, wakati alipofika shuleni hapo kwa ajili ya kukabidhi madawati 50 yenye thamani ya sh. milioni 5 pamoja na mabati 100 kwa ajili ya kuezekea shule hiyo, Dar es Salaam juzi. 

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, akizungumza na walimu pamoja na wanafunzi wa Shuleni ya Msingi Upanga, wakati wakati wa hafla hiyo shuleni hapo.

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, akikabidhi madawati 50 kwa Mwalimu Mkuu wa Shuleni ya Msingi Upanga, Dar es Salaam juzi. Kulia ni Diwani wa Kata ya Upanga, Sultan Ahmed.

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, akiwa amekaa kwenye madawati hayo pamoja na Mwalimu Mkuu wa Shuleni ya Msingi Upanga pamoja na wanafunzi wa shule hiyo, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo, Dar es Salaam juzi. 
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, akiwa amekaa kwenye madawati hayo pamoja na Mwalimu Mkuu wa Shuleni ya Msingi Upanga pamoja na wanafunzi wa shule hiyo, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo, Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Diwani wa Kata ya Upanga, Sultan Ahmed.

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo, Dar es Salaam juzi.

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, akizungumza jambo na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo, Dar es Salaam juzi.

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, akikagua moja ya madarasa ya shule hiyo, wakati wa hafla ya makabidhiano ya madawati hayo, Dar es Salaam juzi.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, akiangalia madawati hayo. wakati alipokabidhi kwa shule hiyo, Dar es Salaam juzi.

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Upanga, Mwl. Anna Mshana, akimueleza jambo Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (katikati), wakati akimuaga baada ya kumalizika hafla ya makabidhiano hayo. Kulia ni Diwani wa Kata ya Upanga, Sultan Ahmed.

No comments:

Post a Comment