TANGAZO


Sunday, August 3, 2014

Kikundi cha Amani Women Group chasaidia wagonjwa Taasisi ya Saratani, Ocean Road

Mwanakikundi cha akinamama cha kusaidia jamii cha Amani Women Group (AWG), Grace Mzoo, akimjulia mgonjwa, Edwina Swed, wakati walipofika katika Taasisi ya Saratani, Ocean Road, kusaidia wagonjwa vitu mbalimbali, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwanakikundi cha akinamama cha kusaidia jamii cha Amani Women Group (AWG), Grace Mzoo, akimpa msaada wa vitu mbalimbali mgonjwa, Edwina Swed, wakati walipofika katika Taasisi ya Saratani, Ocean Road, kusaidia wagonjwa vitu mbalimbali, Dar es Salaam leo.
Mwanakikundi cha akinamama cha kusaidia jamii cha Amani Women Group (AWG), Rhoda Shao, akimpatia msaada mgonjwa, wakati walipofika katika Taasisi ya Saratani, Ocean Road, kusaidia wagonjwa vitu mbalimbali, Dar es Salaam leo.
Mwanakikundi cha akinamama cha kusaidia jamii cha Amani Women Group (AWG), Jubieth Makundi, akimpatia msaada mgonjwa, wakati walipofika katika Taasisi ya Saratani, Ocean Road, kusaidia wagonjwa vitu mbalimbali, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wanakikundi cha akinamama cha kusaidia jamii cha Amani Women Group (AWG), wakiwa na baadhi ya vitu mbalimbali walivyovitayarisha kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa kwenye Taasisi ya Saratani, Ocean Road, Dar es Salaam leo.
Wanakikundi cha akinamama cha kusaidia jamii cha Amani Women Group (AWG), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya vitu mbalimbali walivyovitayarisha kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa kwenye Taasisi ya Saratani, Ocean Road, Dar es Salaam leo.
Wanakikundi cha akinamama cha kusaidia jamii cha Amani Women Group (AWG), wakipanga baadhi ya vitu mbalimbali walivyovitayarisha kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa kwenye Taasisi ya Saratani, Ocean Road, Dar es Salaam leo.
Wanakikundi cha akinamama cha kusaidia jamii cha Amani Women Group (AWG), wakibeba baadhi ya vitu mbalimbali walivyovitayarisha kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa kwenye Taasisi ya Saratani, Ocean Road, Dar es Salaam leo.
Wanakikundi cha akinamama cha kusaidia jamii cha Amani Women Group (AWG), wakijadili jambo huku wakiwa wamebeba baadhi ya vitu mbalimbali walivyovitayarisha kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa kwenye Taasisi ya Saratani, Ocean Road, Dar es Salaam leo.
Wanakikundi cha akinamama cha kusaidia jamii cha Amani Women Group (AWG), wakizungumza jambo huku wakiwa wamebeba baadhi ya vitu mbalimbali walivyovitayarisha kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa kwenye Taasisi ya Saratani, Ocean Road, Dar es Salaam leo.
Wanakikundi cha akinamama cha kusaidia jamii cha Amani Women Group (AWG), wakiwasubiri baadhi ya wenzao tayari kwa ajili ya kukabidhi misaada ya vitu mbalimbali walivyovitayarisha kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa kwenye Taasisi ya Saratani, Ocean Road, Dar es Salaam leo.
Wanakikundi cha akinamama cha kusaidia jamii cha Amani Women Group (AWG), wakipozi kwa picha baada ya kuwakabidhi wagonjwa vitu mbalimbali walivyovitayarisha kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa hao, kwenye Taasisi ya Saratani, Ocean Road, Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa kikundi hicho, Elizabeth Mshana.
Wanakikundi cha akinamama cha kusaidia jamii cha Amani Women Group (AWG), wakipozi kwa picha baada ya kuwakabidhi wagonjwa vitu mbalimbali walivyovitayarisha kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa hao, kwenye Taasisi ya Saratani, Ocean Road, Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa kikundi hicho, Elizabeth Mshana.

No comments:

Post a Comment