*Aondolewa Hotelini Serena
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva
(kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Hoteli ya
Serena Dar es Salaam jioni hii wakati akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa
kocha huyo. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Simba, Collin Frisch na Saidi Tully.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Klabu
ya Simba, Collin Frisch (kulia), akimsindikiza kwenda kupanda gari kocha
wa timu hiyo Zdravko Logarusic 'Loga', wakati wakitoka katika Hoteli ya
Serena, Dar es Salaam leo jioni, baada ya kutimuliwa kuifundisha timubu
hiyo. Kocha huyo alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja wa kufundisha timu
hiyo. Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com. simu namba
0712-727062)
Gari namba T 853 BGS alilotumia kocha huyo wakati akiondoka katika hoteli hiyo baada ya kutimuliwa.
No comments:
Post a Comment