Mfungaji bao la Ujerumani
45'' Kipindi cha kwanza kimekamilika .
44 Ujerumani 1-0 Ufaransa 41 Benzema anakosa fursa nyengine ya kuisawazishia Ufaransa.
40'' Mechi hii inaendelea katika uwanja wa kihistoria wa Maracana
Bao la Mat Hummels
Mshindi wa mechi hii atakutana na mshindi kati ya Brazil na Colombia katika nusu fainali.
Ujerumani inakabiliana na Ufaransa kutafuta tikiti ya nusu fainali ya kombe la dunia .
Mashabiki wa Ufaransa
No comments:
Post a Comment