Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakisaini hati ya makubaliano ya mikataba miwili ya ujenzi wa barabara za juu kwa juu katika makutano ya TAZARA na usambazaji umeme jijini Dar es Salaam leo, zenye thamani ya zaidi ya bilioni 128.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akionyesha michoro ya itakavyonekana barabara za juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es Salaam, wakati wa kusaini hati ya makubaliano ya miradi miwili zenye thamani ya zaidi ya bilioni 128 na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) leo. (Picha zote na Eleuteri Mangi- MAELEZO -Dar)
No comments:
Post a Comment