TANGAZO


Friday, July 11, 2014

Rais wa Zanzibar Dk. Shein akutana na Mgombea Urais wa Chama cha Frelimo Ikulu mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mgombea Urais kupitia Chama cha Frelimo,nchini Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mgombea Urais kupitia Chama cha Frelimo,nchini Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mgombea Urais kupitia Chama cha Frelimo,nchini Msumbiji Mhe,filipe Jacinto Nyusi baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ukumbi wa wageni  Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Mgombea Urais kupitia Chama cha Frelimo,nchini Msumbiji Mhe,filipe Jacinto Nyusi baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhani Othman)

No comments:

Post a Comment