TANGAZO

Friday, July 11, 2014

Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia FRELIMO, Filipe Nyusi akutana Rais Kikwete mjini Tanga

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimkaribisha Mgombea wa Urais nchini Msumbiji kwa tiketi ya chama cha Frelimo, Filipe Nyusi Ikulu ya Tanga kwa mazungumzo leo.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimkaribisha Mgombea wa Urais nchini Msumbiji kwa tiketi ya chama cha Frelimo, Filipe Nyusi Ikulu ya Tanga kwa mazungumzo leo.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mgombea wa Urais nchini Msumbiji kwa tiketi ya chama cha Frelimo, Filipe Nyusi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete.

No comments:

Post a Comment