TANGAZO


Monday, June 16, 2014

Shirika la Kimataifa la Wakimbizi (IOM) lawafunda waandishi wa Dodoma jinsi ya kuandika habari za wakimbizi

Meneja wa shirika la Kimataifa la Uhamiaji (I O M), Charles Mkude akiwaonyesha wandishi wa habari (hawapo pichani), moja ya picha zinazoonesha wakimbizi wanavyosafiri kwa tabu kwa kutumia malori, meli na maboti, wakiwa wamejazana bila kujali watoto na mizigo.
Meneja wa Shirika la Kimataifa la Wakimbizi (I O M), Charles Mkude akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wa mkoa wa Dodoma walioitwa kwenye mafunzo ya namna ya kuandika habari za wakimbizi na wahamiaji wasio halali.
Baadhi ya waandishi wa habari wa Dodoma, wakijadiliana jambo, wakiwa darasani kwenye mafunzo hayo.
Mmoja wa waandishi wa habari hao, Paul Mabeja akiwasilisha mapendekzo ya majadiliano ya vikundi kwenye semina hiyo.
 Baadhi ya waandishi wa habari wa Dodoma, wakiwa darasani kwenye mafunzo hayo. (Picha zote na John Banda)

No comments:

Post a Comment