Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa (kushoto), akimjulia hali Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Sheikh Adam Zubeir, nyumbani kwake, Kikuyu Flats. Sheikh Zubeir amekuwa akisumbuliwa na maradhi na alipelekwa India kwa matibabu hivi karibuni.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa (kushoto), akizungumza na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Sheikh Adam Zubeir, nyumbani kwake, Kikuyu Flats, alipokwenda kumjulia hali. Sheikh Zubeir amekuwa akisumbuliwa na maradhi na alipelekwa India kwa matibabu hivi karibuni.

Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa (kushoto), akimsikiliza Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Sheikh Adam Zubeir, nyumbani kwake, Kikuyu Flats, wakati alipofika hapo kwa ajili ya kumjulia hali. Sheikh Zubeir amekuwa akisumbuliwa na maradhi na alipelekwa India kwa matibabu hivi karibuni.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa (kushoto), akimsikiliza Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Sheikh Adam Zubeir, nyumbani kwake, Kikuyu Flats, wakati alipofika hapo kwa ajili ya kumjulia hali. Sheikh Zubeir amekuwa akisumbuliwa na maradhi na alipelekwa India kwa matibabu hivi karibuni. |
No comments:
Post a Comment