Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Dk. Mary Mwanjelwa (kushoto), akikabidhi mashuka kwa Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Mpunguti, wilayani Kyela jana, alipotembelea waathirika wa mafuriko wilayani humo na kutoa mashuka 150 katika Vijiji vya Mpunguti na Nyerere.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Dk. Mary Mwanjelwa, akipewa mkono wa shukrani na Mzee Lington Mwakatundu wa Kijiji cha Nyerere, Kata ya Bujonde, wilayani Kyela jana, alipotembelea waathirika wa mafuriko wilayani humo, na kutoa mashuka 150 katika Vijiji vya Mpunguti na Nyerere. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Dk. Mary Mwanjelwa (mbele), akivuka daraja la mianzi katika Kijiji cha Mpunguti wilayani Kyela jana, alipotembelea waathirika wa mafuriko wilayani humo, na kutoa mashuka 150 katika Vijiji vya Mpunguti na Nyerere. (Picha zote na mpigapicha wetu).




No comments:
Post a Comment