Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi
na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye wakiwasili leo katika Kijiji cha
Makomelo, mjini Igunga tayari kuanza ziara ya siku kumi mkoani Tabora. Ziara hiyo ni ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kusikiliza kero za Wananchi. Pia Kinana atafanya ziara katika mikoa ya Singida na Manyara.
Kinana akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwassa alipowasili wilayani Igunga leo, tayari kuanza ziara ya siku kumi mkoani Tabora.
Green Guard wa CCM akimvisha skafu Katibu Mkuu wa CCM, Kinana wakati wa mapokezi katika Kijiji cha Makomelo, wilayani Ugunga.
Kinana akikagua gwaride la Green Guard huku akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Hassan Wakasubi
Kinana akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Hassan Wakasubi
Kinana akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CCM baada ya kuwasili.
Mwanachama wa CCM akiwa amevaa helmn wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wilayani Igunga.
Kinana akisalimianmisa wa Serikali pamoja na wananchi baada ya kuwasili mjini Igunga
Kikundi cha utamaduni kikiyumbuiza wakati wa mapokezi ya msafara wa Kinana katik Kijiji hicho.
Kinana akihutubia, mara baada ya kulakiwa.
Kinana akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati wa mapokezi hayo.

No comments:
Post a Comment