Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na
Uwezeshaji) Dkt. Mary Nagu (mbele mwenye mkoba) akiwa katika picha ya pamoja na
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi mara baada ya kuzindua Mkutano wa Baraza la
Wafanyakazi leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, (kushoto
kwake tai nyekundu) Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florence Turuka.
Monday, April 28, 2014
Waziri Nagu azindua Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na
Uwezeshaji) Dkt. Mary Nagu akizindua Mkataba wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi
ya Waziri Mkuu mara baada ya kuzindua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi leo
katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, (kulia) Katibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Regina Kikuli akimfafanulia jambo
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Bw. Packshard Mkongwa wakati wa mkutano
wa Baraza la Wafanyakazi leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment