Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Mwansoko (katikati) akiwa na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Joyce Fisoo (wa pili kushoto) na watumishi wengine wa Wizara hiyo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kujumuika katika Mkesha wa Muungano.Kulia kwake ni mwenyeji wake Wilaya ya Ilala Mhandisi Raymond Mushi .
Kikindi cha Taifa cha Taarabu kikitumbuiza wananchi waliohudhuria kwenye mkesha na wimbo Maalum unaojulikana kama Muungano Wetu.

Kikundi cha Burudani kutoka Tanga kikuburudisha hadhira.
Kikundi cha Burudani kutoka Tanga kikuburudisha hadhira.
Kikundi cha Burudani kutoka Tanga kikuburudisha hadhira.
Mzee Yusuf na Kundi lake la Jahaz Morden Taarabu.
Baadhi ya vijana wakiburudika kwa ngoma mbalimbali uwanjani hapo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Iddi, akitoa salamu zake kwa wananchi.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda, akitoa neno kwa
wananchi.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda, akijiandaa
kubofya kitufe cha kuashiria kuzaliwa upya kwa Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar.Maandishi Maalumu yakihamasishana kuashiria kutimia kwa Miaka 50 ya Muungano.
Fashfash na fataki zikamiminika kwenye anga ya viwanja vya Mnazi Mmoja.

Profesa Mwansoko akizungumza na Televisheni One.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda, akiwaaga baadhi ya wageni waalikwa na kuondoka baada ya kuongoza Mkesha wa Muungano.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda akisalimia na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi ambaye alikuwa mmoja wa wakeshaji walioshuhudia Mika 50 ya Muungano.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda akizungumza na mtoto wakati akiondoka kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya mkesha wa Muungano. (Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO)
No comments:
Post a Comment