Mgeni rasmi, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali
George Masaju akitoa hotuba ya uzinduzi wa taarifa ya ukaguzi wa Magereza na
sehemu walimozuiliwa watoto pamija na
nyezo za ufuatiliaji wa hali na haki za watoto
hao, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume ya Haki za
Binadamu na Utawala Bora zilizo mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi, Naibu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju (wa pili kushoto) akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa taarifa ya ukaguzi wa Magereza na sehemu walimozuiliwa watoto pamoja na nyezo za ufuatiliaji wa hali
na haki za watoto hao leo jijini Dar es
Salaam, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume ya Haki za
Binadamu na Utawala Bora. Wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Haki za
Binadamu na Utawala Bora, Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na
Utawala Bora (wa kwanza kulia) na wa pili kulia ni mwakilishi wa UNICEF nchini
na Mkuu wa Idara ya kutetea Haki za Watoto Birgithe Lund-Henriksen.
Mgeni rasmi, Naibu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju (katikati) akionesha taarifa ya
ukaguzi wa Magereza na sehemu walimozuiliwa
watoto pamoja na nyezo za ufuatiliaji wa hali na haki za watoto mara
baada ya uzinduzi huo leo jijini Dar es Salaam, hafla hiyo iliyofanyika katika
ukumbi wa Ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Wa kwanza kushoto
ni Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Amiri Manento na wa
pili kulia ni mwakilishi wa UNICEF nchini na Mkuu wa Idara ya kutetea Haki za
Watoto Birgithe Lund-Henriksen.
Mgeni rasmi, Naibu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju (kushoto) akiteta jambo na Katibu
Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mary Massay wakati wa
uzinduzi wa taarifa ya ukaguzi wa Magereza na sehemu walimozuiliwa watoto pamoja na nyezo za ufuatiliaji wa hali
na haki za watoto hao hafla hiyo
iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume hiyo zilizopo mtaa wa Luthuli leo
jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki
za Binadamu na Utawala Bora Amiri Manento (kushoto) akitoa neno kabla ya
kumkaribisha Mgeni rasmi, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju
(kulia) juu ya taarifa ya ukaguzi wa magereza, vituo vya Polisi, mahabusi za
watoto na shule ya maadilisho.
Kamishna Msaidizi wa
Magereza makao makuu (ACP) George Mwambashi akitoa ufafanuzi juu ya namna
magereza zilivyotenganisha selo za watoto na za watu wazima nchini.
Picha ya pamoja ya
wajumbe waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa taarifa ya ukaguzi wa Magereza na
sehemu walimozuiliwa watoto pamoja na nyezo za ufuatiliaji wa hali na haki za
watoto hao katika ukumbi wa Ofisi za
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora zilizo mtaa wa Luthuli leo jijini Dar
es Salaam.
Picha ya pamoja ya
wajumbe waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa taarifa ya ukaguzi wa Magereza na
sehemu walimozuiliwa watoto pamoja na nyezo za ufuatiliaji wa hali na haki za
watoto hao katika ukumbi wa Ofisi za
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora zilizo mtaa wa Luthuli leo jijini Dar
es Salaam. (Picha zote na Eleuteri Mangi-Maelezo)
No comments:
Post a Comment