TANGAZO


Saturday, April 12, 2014

Rais Kikwete akutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Ikulu jijini Dar leo, Pia akutana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Canada nchini, Mh. Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini, Mh. Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund Balozi Ami Mpungwe baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo. (Picha zote na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment