Bondia Sukkasem Kietyongyuth
kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada
ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya leo April
19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es Salaam
Bondia Sukkasem Kietyongyuth
kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli kwa mkono na Fransic
Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa
jumamosi ya April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam
Bondia Sukkasem Kietyongyuth
kutoka Thailand kulia wakipeana salamu ya heshima na Fransic Miyeyusho
baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya April
19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam
Bondia
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano
wake na Mustafa Doto utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini
Dar es salaam
Bondia
Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng
class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi
Bondia
Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng
class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi
Bondia Mfaume Hamad kushoto akitunishiana misuli na Godfrey Sadiki kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi
Bondia Ibrahim 'King Class Mawe (kushoto aliyesimama), akishuhudia mpinzani wake akipimwa afya. |
Promwa mpambano, Mussa Kova akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mpambano huo.
Bondia Francis Miyeyusho akizungumza wakati wa kupima uzito.
Bondia Miyeyusho akipimwa uzito kabla ya mpambano wao leo.
Bondia Miyeyusho akipima uzito
No comments:
Post a Comment