Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya
Ushelisheli, Barry Faure (Kulia) akitia saini kitabu cha wageni wakati
alipowasili kwenye Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna
Tibaijuka jijini Dar es Salaam jana kwa mazungumzo. Kushoto ni Afisa kutoka Wizara ya
Mambo ya Nje ya Tanzania.
|
Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya
Ushelisheli, Barry Faure (Kulia) akizungumza na Wazirii wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka (Kushoto) wakati alipotembelea
Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.Pembeni yao ni Maafisa kutoka Wizara ya Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Mambo ya Nje. | | | |
|
Wazirii wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,
Prof. Anna Tibaijuka akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na mgeni wake
wa Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure(hayupo
pichani) alipotebela Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
|
|
Wazirii wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,
Prof. Anna Tibaijuka akizungumza (kushoto) wakati Katibu wa Nchi wa Wizara ya
Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure (kulia) alipotembelea Wizara
hiyo jijini Dar es Salaam.Pembeni yao ni Maafisa kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Mambo ya Nje. (Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO)
|
No comments:
Post a Comment