TANGAZO


Wednesday, March 19, 2014

Waziri Mkuu Mizengo Pinda azindua mradi wa maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa, wilayani Kongwa


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Mji Mdogo  wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni Moja ya Shuguli za wiki ya Maji Machi 17, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Mradi wa Maji wa Mji Mdogo  wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja ya shughuli za Wiki ya  Maji nchini Machi 17, 2014. Kulia kwake ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe.

No comments:

Post a Comment