Katibu wa NEC Itikadi, Siasa, na Uenezi (CCM) Nape nnauye kulia akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete katika kijiji cha Makombe kata ya Lugomba.
Kundi la Fataki la TBC nalo limevamia chalinze kuanza kutoka burudani katika mikutano ya kampeni ya mgombea wa CCM Bw. Rhidhiwani Kikwete.
No comments:
Post a Comment