Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik akitoa hotuba wakati
akizindua kampeni ya homa ya ini (HEPATITIS B), uzinduzi huo umefanyika
katika Hospital ya Amana March 7,2014 jijini Dar es Salaam.
Mganga
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magembe akielezea matatizo ya
ugonjwa wa ini namna ya kujikinga wakati wa uzinduzi huo.
Wauguzi pamoja na madaktari wakishuhudia uzinduzi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki akiwa kwenye picha ya pamoja madaktari mara baada ya kuzindua
Wafanyakazi wa Hospital ya Amana na wauguzi wakipata vipimo.
No comments:
Post a Comment