Phares Magesa (MNEC), akiwa kwenye mazungumzo mafupi na Comrade Paulo katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere.
Katibu Mkuu wa Chama cha MPLA cha Angola Comrade Julio Mateus Paulo akipokelewa na Ndg. Phares Magesa Mjumbe wa NEC kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili.
No comments:
Post a Comment