Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Pudenciana Kisaka, akipanda mti katika Shule ya Msingi Igula katika Tarafa ya Ismani.
Wafanyakazi wa Shirika la Restless Tanzania, Mwadawa na Amne wakitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Pudenciana Kisaka juu ya shughuli za shirika hilo.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Pudenciana Kisaka akiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima wa kituo Nyumbani kilichoko Ismani.
No comments:
Post a Comment