Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Andrew Chenge (kushoto), anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa bunge hilo, akizungumza jambo na wajumbe wenzake, Profesa Jumanne Maghembe (kulia) na Injinia Gerson Lwenge, nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaghirishwa kikao cha kujadili kanuni za bunge hilo, mjini Dodoma jana. Bunge hilo, linaendelea tena kesho na kikao chake, kama semina na kesho kuanza rasmi. |
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Philemon Ndesamburo (kushoto) na Mwigulu Nchemba, wakizungumza jambo nje ya Ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma jana, baada ya kuaghirishwa kikao cha bunge hilo. |
Mjumbe wa Bunge Maalum, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akitoka nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaghirishwa kikao cha kujadili kanuni za bunge hilo, mjini Dodoma jana. |
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaghirishwa kwa kikao cha kujadili kanuni za bunge hilo, mjini Dodoma jana. |
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaghirishwa kwa kikao cha kujadili kanuni za bunge hilo, mjini Dodoma jana.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mahadhi Juma Maalim (kushoto), Profesa Juma Kapuya na Haroub Mohamed Shamis, wakizungumza jambo nje ya ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma mara baada ya kuaghirishwa jana.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Profesa Juma Kapuya (kushoto) na Haroub Mohamed Shamis, wakijadili jambo nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaghirishwa kikao cha kujadili kanuni za bunge hilo, mjini Dodoma jana.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Mahadhi Juma Maalim na Namelok Sokoine wakizungumza jambo, nje ya ukumbi huo jana, mjini Dodoma.
Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, Richard Ndassa (kulia), akizungumza jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda nje ya ukumbi wa Bunge, mara baada ya kuaghirishwa jana. |
Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba, Richard Ndassa (kulia), akizungumza jambo na mjumbe mwenzake, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda nje ya ukumbi wa Bunge, mara baada ya kuaghirishwa jana.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Shamim Khan (kushoto), akimweleza jambo, mjumbe mwenzake, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaghirishwa jana. Kulia ni mjumbe Richard Ndasa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Vita Kawawa akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kuaghirishwa kikao hicho, nje ya ukumbi wa Bunge jana.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Vita Kawawa (kushoto) na Adelgunda Mgaya, wakizungumza jambo mara baada ya kuaghirishwa jana.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Ibrahim Muhamada Sanya (kushoto), akizungumza jambo na wajumbe wenzake,Vita Kawawa, Ismail Jusa Ladhu na Margreth Sitta, nje ya ukumbi wa bunge jana.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Willium Lukuvi, akimweleza jambo mjumbe mwenzake, Maria Sarungi, mara baada ya kuaghirishwa kwa kikao cha bunge hilo jana.
No comments:
Post a Comment