Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea mashada ya maua wakati wa mapokezi yake, alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Jaipur, nchini India katika Jimbo la Rajastan, akiwa na ujumbe wake, akiwemo mkewe Mama Mwanamwema Shein katika ziara rasmi ya Kiserikali nchini humo leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, India)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Ulinzi wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Jaipur, nchini India katika Jimbo la Rajastan, akiwa na ujumbe wake, aliofuatana nao, akiwemo mkewe, Mama Mwanamwema Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein na mkewe, Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na viongozi wa Jimbo hilo, wakati wa mapokezi, alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Jaipur, nchini India katika Jimbo la Rajastan, pamoja na ujumbe aliofuatana nao katika ziara hiyo, rasmi nchini India.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Uhusiano wa Mambo ya Nje, Mam Raj Behamni, mara baada ya mapokezi na mkewe, Mama Mwanamwema Shein, walipowasili katika Uwanja wa ndege wa Jaipur, nchini India katika Jimbo la Rajastan, pamoja na ujumbe wake, katika ziara rasmi ya Kiserikali nchini India.





No comments:
Post a Comment