TANGAZO

Wednesday, February 26, 2014

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, afunga Semina Elekezi ya Wazazi mjini Dodoma

Washiriki wa Semina Elekezi ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa viongozi wa Mikoa, Wilaya pamoja na Wakuu wa Shule za jumuiya hiyo, wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (hayupo pichani), wakati alipokuwa akiwahutubia katika ufungaji wa semina yao hiyo, mjini Dodoma juzi. 
Washiriki wa Semina Elekezi ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa viongozi wa Mikoa, Wilaya pamoja na Wakuu wa Shule za jumuiya hiyo, wakifurahia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (hayupo pichani), wakati alipokuwa akiwahutubia katika ufungaji wa semina yao hiyo, mjini Dodoma juzi. 
Washiriki wa Semina Elekezi ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa viongozi wa Mikoa, Wilaya pamoja na Wakuu wa Shule za jumuiya hiyo, wakiimba moja ya nyimbo za hamasa, wakati wa ufungwaji wa Semina yao Elekezi na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (hayupo pichani), wakati alipokuwa akiwahutubia katika ufungaji wa semina yao hiyo, mjini Dodoma juzi. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (wa pili kushoto),) akifurahi pamoja na kupiga makofi na viongozi wakuuu wa jumuiya hiyo, wakati alipokuwa akiifunga semina elekezi iliyoandaliwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa makatibu wa Mikoa, Wilaya na Wakuu wa Shule za Jumuiya hiyo juzi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (wa pili kushoto), akifurahi pamoja na kupiga makofi na viongozi wakuuu wa jumuiya hiyo, wakati alipokuwa akiifunga semina elekezi iliyoandaliwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa makatibu wa Mikoa, Wilaya na Wakuu wa Shule za Jumuiya hiyo juzi.
Msoma shairi akighani shairi wakati wa ufungaji wa semina hiyo juzi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (wa pili kushoto), akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Idd Mabrouk wakati wa ufungaji wa semina elekezi kwa makatibu wa Mikoa, Wilaya na Wakuu wa Shule za Jumuiya hiyo juzi.
Washiriki wa Semina Elekezi ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa viongozi wa Mikoa, Wilaya pamoja na Wakuu wa Shule za jumuiya hiyo, wakimtunza msoma shairi, wakati wa ufungwaji wa semina elekezi ya jumuiya hiyo kwa Makatibu wa Wilaya, Mikoa na Wakuu wa Shule sa Jumuiya hiyo juzi. Semina hiyo, ilifungwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, mjini Dodoma juzi. 
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akizungumza katika ufungaji huo kabla Makamu wa Rais Pili wa Rais wa Zanzibar hajaifunga semina hiyo juzi.

Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdullah Bulembo, akizungumza wakati wa ufugwaji wa semina hiyo juzi. 

Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdullah Bulembo, akizungumza wakati wa ufugwaji wa semina hiyo juzi.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Mwigulu Nchemba akizungumza wakati wa ufungwaji wa semina hiyo juzi
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, akizungumza wakati alipokuwa akitoa hotuba yake katika ufungaji wa Semina Elekezi ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa viongozi wa Mikoa, Wilaya pamoja na Wakuu wa Shule za jumuiya hiyo, Mjini Dodoma juzi.
Mdhamini wa mali za Jumuiya hiyo, Naibu Waziri, Tibazeba akizungumza wakati wa ufungaji wa semina hiyo juzi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, akizungumza wakati alipokuwa akitoa hotuba yake katika ufungaji wa Semina Elekezi ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa viongozi wa Mikoa, Wilaya pamoja na Wakuu wa Shule za jumuiya hiyo, Mjini Dodoma juzi.
Washiriki wa Semina Elekezi ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa viongozi wa Mikoa, Wilaya pamoja na Wakuu wa Shule za jumuiya hiyo, wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (hayupo pichani), wakati alipokuwa akiwahutubia katika ufungaji wa semina yao hiyo, mjini Dodoma juzi. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kulia), akipongezwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Alhaj Abdallah Bulembo kwa hotuba yake ya ufungaji wa Semina Elekezi ya jumuiya hiyo, kwa viongozi wa Mikoa, Wilaya pamoja na Wakuu wa Shule za jumuiya, Mjini Dodoma juzi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, akizungumza wakati alipokuwa akitoa hotuba yake katika ufungaji wa Semina Elekezi ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa viongozi wa Mikoa, Wilaya pamoja na Wakuu wa Shule za jumuiya hiyo, Mjini Dodoma juzi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Idd Mabrouk (kulia), wakati wa kuifunga Semina Elekezi ya jumuiya hiyo, kwa viongozi wa Mikoa, Wilaya pamoja na Wakuu wa Shule za jumuiya, mjini Dodoma juzi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kulia), akimkabidhi cheti cha ushiriki, mmoja wa washiriki wa Semina Elekezi ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa viongozi wa Mikoa, Wilaya pamoja na Wakuu wa Shule za jumuiya hiyo, Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Wilaya ya Morogoro, Johansen Kakiziba, wakati alipoifunga semina hiyo, mjini Dodoma juzi. 

No comments:

Post a Comment