TANGAZO


Monday, February 24, 2014

Dk. Shein akutana na Balozi wa Malawi


Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Bi. Flossie Asekanao Gomale-Chidyaonga,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais

Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Bi.Flossie Asekanao Gomale-Chidyaonga, Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo yao leo alipofika kujitambulisha. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)

No comments:

Post a Comment