Mashabiki wa Yanga, wakifuatilia mchezo kati ya timu yao na Ashanti United FC, wakati zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mashabiki wa timu ya Ashanti wakishangilia timu yao baada ya kusawazisha bao dhidi ya Yanga katika mchezo huo.Mrisho Ngassa wa Yanga, akijaribu kumtoka Shafii Hassan wa Ashanti katika mchezo huo.
David Luhende wa Yanga, akitafuta mbinu ya kumtoka Mohammed Fakhi wa Ashanti United FC.
David Luhende wa Yanga, akiwania mpira na Tumba Sued wa Ashanti.
David Luhende wa Yanga, akiwania mpira na Tumba Sued wa Ashanti.
Golikipa wa Ashanti, Daudi Mwasongwe, akinyooshwa misuli ya bega na tumbo baada ya kudondoka chini.
David Luhende wa Yanga, akimtoka Hussein Mkongo wa Ashanti United FC katika mchezo huo Uwanja wa Taifa leo.
Kocha wa Yanga, Hans Pluijm, akimueleza jambo David Luhende wa timu hiyo, wakati wa mapumziko kati ya timu hiyo na Ashanti.
Kocha wa Yanga, Hans Pluijm, akimueleza jambo David Luhende wa timu hiyo, wakati wa mapumziko kati ya timu hiyo na Ashanti.
Wachezaji wa Ashanti United FC, wakitoka nje ya Uwanja kuelekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, wakati wa mapumziko.
Wachezaji wa Ashanti United FC, wakitoka nje ya Uwanja kuelekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, wakati wa mapumziko.
Abdul Mtiro wa Ashati United, akijaribu kuutoa mpira miguuni mwa Didier Kavumbagu wa Yanga.
Didier Kavumbagu (mbele) wa Yanga, akishangilia na wenzake baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dhidi ya Ashanti United FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda mabao 2-1.
Didier Kavumbagu (mbele) wa Yanga, akishangilia na wenzake baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dhidi ya Ashanti United FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Didier Kavumbagu (mbele) wa Yanga, akishangilia na Simon Msuva (katikati) na David Luhende, baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dhidi ya Ashanti United FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mashabiki wa Yanga, wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo, lililofungwa na Didier Kavumbagu dhidi ya Ashanti United FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda mabao 2-1.
Wachezaji wa Ashanti United wakishangilia bao lao la kusawazisha dakika 5 tu baada ya kufungwa bao na Yanga katika mchezo huo.
Hussein Sued wa Ashanti United akimtoka Mbuyu Twite wa Yanga.
Nahodha wa Yanga, Mbuyu Twite (kushoto), akiruka juu na Bright Obinna wa Ashanti kuwania kuupiga kichwa mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda mabao 2-1.
Kelvin Yondani wa Yanga akimtoka Hussein Sued wa Ashanti United FC.
Kelvin Yondani wa Yanga akipambana na Hussein Sued wa Ashanti United FC katika mchezo huo.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Mashabiki wa Yanga, wakishangilia timu yao baada ya kufunga moja kati ya mabao 2 katika mchezo dhidi ya Ashanti United FC, zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo na kumalizika kwa Yanga kushinda mabao 2-1.
No comments:
Post a Comment