Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Asha Rose Migiro akipokea Ripoti zilizofanyiwa kazi na Tume kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso. (Picha zote na Munir Shemweta Ofisa Habari wa Tume)
Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Asha Rose Migiro (kushoto) akipokea maua kutoka kwa Afisa Tawala wa Tume, Bi. Suzan.
Mh. Migiro akisalimiana na Mwandishi Mkuu wa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Bi. Caritas Mushi
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Asha Rose Migiro akizungumza wakati wa kikao chake na uongozi wa Tume hiyo.
Kikao cha pamoja baina ya Mhe Waziri wa Katiba na Sheria na Uongozi wa Tume hiyo. hiyo leo. Washiriki wa Kikao.
Sehemu ya Watumishi na ugeni wa Mhe. Waziri wa Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha pamoja. Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso akiwasilisha taarifa fupi ya Tume kwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Asha Rose Migiro.
No comments:
Post a Comment