Polisi nchini Msumbuji wamekanusha madai kuwa wamewakamata watu
wanaoshukiwa kumuua mkuu wa zamani wa ujasusi nchini Rwanda Patrick
Karegeya.
Awali alinukuliwa akisema wanyarwanda kadhaa wamekamatwa na wanatarajiwa kurejeshwa nchini Afrika Kusini.
Marehemu Karegeya alikimbilia uhamishoni nchini Afrika Kusini na alipatikana akiwa amefariki katika hoteli yake mjini Johannesburg January tarehe moja.
Polisi wanaamini kuwa Karegeya aliuawa.
No comments:
Post a Comment