TANGAZO


Thursday, January 23, 2014

Hali ya maisha kijiji cha Dumila baada ya kutokea mafuriko kijijini hapo


Wananchi wa Dumila mkoani Morogoro, wakitumia uzoefu wao wa kuogelea kujinusuru na mafuriko yaliyotokea jana na kuhatarisha maisha ya watu wengi ikiwa ni pamoja na kuharibu miundombinu, yakiwemo madaraja. (Picha zote na Lilian Lucas) 
Wananchi wa Dumila wakiangalia daraja lililobomolewa na mafuriko katika Barabara Kuu ya kuelekea Dodoma na kwenda Dar es Salaam.
 
Mwananchi akivuka maji kwenda kwenye shughuli zake za kujitafutia maisha.
Mwananchi akiangalia athari zilizotokea kwnye mafuriko hayo.

No comments:

Post a Comment