TANGAZO

Thursday, December 19, 2013

Ziara ya mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Shein kwa vikundi vya wanawake kisiwani Pemba

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mama Mwanamwema Shein na mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Rais wa Zanzibar, wakiangalia bidhaa za wanawake wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini Pemba, alipotembelea vikundi hivyo na kutoa mchango wao kwa vikundi hivyo katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Fiedel Castro.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mama Mwanamwema Shein, akiangalia bidhaa za kikundi cha wajasiriamali cha Nia Safi Iwpo Saccos, akiwa na mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Seif na mke wa Balozi mdogo wa China visiwani Zanzibar, Mama Wu Yan.
Mama Mwanamwema Shein, akipatiwa maelezo wakati alipokuwa akiangalia bidhaa za vyakula na mbogamboga za vikundi hivyo.
Mama Mwanamwema Shein, akiangalia kikapu kilichotengenezwa na vikundi hivyo.
Mama Mwanamwema Shein, akiangalia kikapu kilichotengenezwa na vikundi hivyo.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mama Mwanamwema Shein, akiangalia bidhaa za Kikundi cha Uwama Ng'ombeni cha Mkoani, Pemba.
Wajasirimali wanawake wakimsikiliza mke wa Rais Shein, Mama Mwanamwema Shein wakati alipokuwa akiwahutubia alipowatembelea.
Mama Shein akitoa hotuba yake kwa wajasiriamali wanawake kisiwani Pemba leo.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi kiongozi wa kikundi cha wanawake cha Hatugombani, Biharusi Khamis.

No comments:

Post a Comment