Afisa Mtendaji wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura akitoa taarifa fupi kuhusu utendaji wa TTCL na jinsi kamuni hiyo ilivyojidhatiti katika kujenga, kusimamia na kuendesha mkongo wa Taifa wa Mawasilino.
Afisa Mtendaji wa TTCL Dkt. Kamugisha Kazaura akimuonesha waziri mkuu mkongo halisi (fibre) wakati wa ziara yake katika kituo maalum cha uangalizi wa mkongo wa Taifa (Network Observation Centre).
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akipata maelezo namna mitambo ya mkongo wa taifa inavyofanya kazi kutoka kwa Mhandisi Adam Mwaipungu wakati wa ziara yake katika ofisi hizo.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa( Kushoto) pamoja na msafara wa Waziri Mkuu wakielekea katika kituo maalumu cha uangalizi wa mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.
No comments:
Post a Comment