TANGAZO


Thursday, December 26, 2013

Tamsha la Krismasi lilivyofana Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma

Mwimbaji Beatrice William (BSS 2011), Jembe la Yesu, akilima katika jukwa la tamasha lililowakutanisha waimbaji kibao katika tamasha la Krismas mkoani Dodoma jana. (Picha zote na John Banda)
Jesca Nyange na kundi lake akiwaimbia wananchi wa Mkoa wa Dodoma katika tamasha la Krismas lililofanyika katika Uwanja wa Jamhuri.
Jubilee Lugobo toka jijini Dar es Salaam, akitawala jukwaa ndani ya Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma katika tamasha hilo.
Tumsifu Lufutu, toka nchini Kenya akiwaongoza mashabiki wa nyimbo za Injili kuelekea Kaanani ndani ya Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma jana.
Lusekelo Mwandiga wa Dodoma akicheza wakati wa tamasha la Krismas Jamhuri.
Mary Sinkala Chotara wa Kisomali akionesha uwezo wake kwenye tamasha la krismas Dodoma.
Mashabiki waliohudhuria katika tamasha hilo, Uwanja wa Jamhuri Dododma, wakicheza.
Mgeni Rasmi kwenye Tamasha la Krismas lililofanyika Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma, Anthony Mavunde akisalimiana na Mchungaji Komba (Punda wa Yesu), alipokuwa akiingia katika uwanja huo, kuhudhuria tamasha hilo.
Mdhamini wa tamasha la Krismas, Steven Masangia akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na mashabiki waliohudhuria katika uwanja wa Jamhuri mjini Dododma jana.
Ngusa John mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), akishiriki kuonesha kipaji chake katika tamasha hilo.

No comments:

Post a Comment