TANGAZO


Monday, December 16, 2013

Rais Jakaya Kikwete afungua mkutano wa TNBC Dar es Salaam

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), Dk. Reginald Mengi wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa TNBC uliofanyika katika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
 
Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa TNBC, jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya Tanzania National Business Council muda mfupi kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa TNBC uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment