Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua mradi wa maji safi na salama katika Shehia ya Chumbuni mjini Zanzibar, jana Disemba 7-2013, ikiwa ni katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifungua bomba kuashiria kuzindua mradi wa maji safi na salama katika Shehia ya Chumbuni, mjini Zanzibar, jana Disemba 7-2013, ikiwa ni katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar. (Picha zote na OMR)
No comments:
Post a Comment