Jaji
Kiongozi wa Mahakama Kuu Fakih Jundu akifafanua jambo kwa Makamu wa Rias Dk.
Mohamed Gharib Bilal.Kulia ni Waziri wa Sheria na Katiba Mathius Chikawe
(mwenye miwani) wakati alipotembelea banda la Mahakama ya Tanzania.
Bendi ya Jeshi la Magereza likiongoza maandamanoa
katika Maadhimisho ya Kimataifa ya haki za Binadamu yaliyofanyika jijini Dar es
Salaam leo. Maandamano yakipita mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais Mohamed Gharib Bilal.
Wanafunzi nao walikuwepo.
Viongozi waliokuwepo meza kuu wakiwa
wamesimama kwa dakika moja kuomboleza msiba wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini
Marehemu Nelson Mandela.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
Jaji Kiongozi Mstaafu Amiri Manento akiwasilisha hotuba.Msomaji wa Risala kwa Niaba ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Tixon Nzunda akiwasilisha risala
Wananchi waliohudhuria, wakiwa katika hafla hiyo.
Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa akiwasilisha hotuba.
Kukindi cha vijana wa THT, wakionesha igiza juu ya Haki ya Mtoto wa Kike.
Bendi ya THT, ikitoa burudani ya muziki.
Mwakilishi
wa Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, Lisbert Mjoes akiwasilisha
hotuba.
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju
akifafanua kuhusu Mipango Mikakati ya Haki za Binadamu na Haki za Watoto.
Waziri za
Katiba na Sheria Mathius Chikawe akimkaribisha Mgeni Rasmi Dk. Bilal.
Mgeni Rasmi wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Haki za
Binadamu na Siku ya Kitaifa ya Haki za Binadamu na Maadili, Dk. Mohamed Gharib
Bilal, akitoa hotuba yake.Mgeni Rasmi Dk. Mohamed Gharib Bila akionesha Kitabu cha Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Haki za Binadamu baada ya kuuzindua.Kushoto ni Waziri wa Sheri na Katiba Mathius Chikawe.
Mgeni Rasmi, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bila akionesha Kitabu Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Haki za Watoto baada ya kuuzindua.
Mgeni rasmi, Makamu wa Rais akiwa katika picha ya
pamoja na wageni mbalimbali katika hafla hiyo. (Picha zote na Hussein Makame, MAELEZO)
No comments:
Post a Comment