TANGAZO


Tuesday, December 3, 2013

Madaktari wa Kichina wazindua Huduma mpya ya 'Endoscope', Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar

Daktari bingwa kutoka China Sun Kewen akimfanyia uchunguzi wa maradhi ya tumbo na koo mgonjwa mmoja  kwa kutumia mashine ya kisasa (Endoscope), iliyofayiwa majaribio katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja leo.
Daktari Wang Lei akiangali sehemu ya ndani ya tumbo la mfanyakazi wa Hospitali ya Mnazimmoja kwa kutumia mashine ya (Endoscope) ambayo imeanza kufanyiwa marajabio rasmi katika Hospitali hiyo. Kushoto ni muuguzi Halima Habib Abdalla anaefuatilia kwa karibu majario ya mashine hiyo.
Dk. Sun Kewen na Dkt Wang Lei wakionyeshana Lei matokeo ya uchunguzi wa mgonjwa Halima Habib aliefanyiwa uchunguzi wa tumbo kwa kutumia mashine ya (Endoscope).
Dk. Wang Lei akitoa maelezo ya namna mashine ya (Endoscope) inavyofanyakazi na kutoa matokeo ya uhakika matatizo ya mgonjwa kwa muda mfupi. (Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

No comments:

Post a Comment